Chuo cha Udom kimerudisha baadhi ya wanafunzi waliofukuzwa takribani mwaka mzima sasa. Mpaka sasa wanafunzi waliorudishwa ni 268 ambao wanatarajiwa kuripoti chuoni kati ya trh 2-3 mwezi wa sita. Sasa sijui majina ndo yamekamilika au bado maana waliorudishwa ni wachache kuliko idadi ya wanafunzi waliofukuzwa.