Baada ya likizo ya mwaka mmoja hatimaye...

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,054
Reaction score
5,511
Chuo cha Udom kimerudisha baadhi ya wanafunzi waliofukuzwa takribani mwaka mzima sasa. Mpaka sasa wanafunzi waliorudishwa ni 268 ambao wanatarajiwa kuripoti chuoni kati ya trh 2-3 mwezi wa sita. Sasa sijui majina ndo yamekamilika au bado maana waliorudishwa ni wachache kuliko idadi ya wanafunzi waliofukuzwa.
 
Sasa wanarudishwa mwishoni,wana course works?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…