Baada ya localbitcoin kufungiwa upi ni mbadala wa wallet yenye kuendana na hiyo...?

Baada ya localbitcoin kufungiwa upi ni mbadala wa wallet yenye kuendana na hiyo...?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Kichwa cha habari kinajitosheleza...
 
Hilo neno “kufungiwa” limekaa sawa sawa kweli?
 
Kichwa cha habari kinajitosheleza...
Halafu haikufungiwa waliifunga baada ya lile wimbi lilopita na ftx na kuanguka kwa ile kampuni ya yule mkorea ambapo coin zilishuka thaman kwa kasi. So wakaona waifunge tu
 
Back
Top Bottom