Baada ya Lori hii kupinduka, Jamaa hawa hawatazami kitu ila soda tu!!

Baada ya Lori hii kupinduka, Jamaa hawa hawatazami kitu ila soda tu!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Baada ya Lori hii kupinduka, Jamaa hawa hawatazami kitu ila soda tu!!
smile_tongue.gif

makubwa nilidhani bongo peke yake kumbe bongo wanabeep wenyewe watu wakazi wako india.
 
mkuu bujibuji umenifurahisha sana.teh wahindi wanajidai huku tu kwao ni masikini sanaaaa
 
Ndio manzese ya India hiyo?? Sio kosa lao kuna watu wanaweza kunywa soda mara moja kwa mwaka!!!
 
hahaha mie pia nilidhani ni kwetu kumbe kila kona mambo haya yapo
 
hawa jamaa njaa kali sana kwao wakija huku afrika ndio wanajidai
 
Chupa zote hizo zilizovunjika hapo chini, wengine wana ndala tu, lakini wamo.
 
Soda bana, yaani, we acha tu.

Hawa nafikiri ni Wabangaladeshi hawa.
 
Back
Top Bottom