Baada ya Lori hii kupinduka, Jamaa hawa hawatazami kitu ila soda tu!!

makubwa nilidhani bongo peke yake kumbe bongo wanabeep wenyewe watu wakazi wako india.
 
mkuu bujibuji umenifurahisha sana.teh wahindi wanajidai huku tu kwao ni masikini sanaaaa
 
Ndio manzese ya India hiyo?? Sio kosa lao kuna watu wanaweza kunywa soda mara moja kwa mwaka!!!
 
hahaha mie pia nilidhani ni kwetu kumbe kila kona mambo haya yapo
 
hawa jamaa njaa kali sana kwao wakija huku afrika ndio wanajidai
 
hawa ni wahindi piga ua!
 
Chupa zote hizo zilizovunjika hapo chini, wengine wana ndala tu, lakini wamo.
 
Soda bana, yaani, we acha tu.

Hawa nafikiri ni Wabangaladeshi hawa.
 
hawa ni wahindi piga ua!
kweli nilidhani haya mambo ni kule kwetu mwaisongole tulikuiba mafuta mpaka tukanyofoa betri tukaungua,huko india pia wana njaa hivyo? huku tunawashobokeeeea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…