Baada ya mafuta halisi ya condom kuisha..

mwepesi

Senior Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
156
Reaction score
95
Ni mafuta yapi bora na yasiyo na madhala hieza kutumika wakat wa tend ikiwa na kinga ili usimletee mwenzio michubuko
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] swalaaama kinundu,
Lete utaalamu mkuu maana hizi condom bwana maranyingi zinaisha mafuta... Yan zinakata stim... Mi huwaga naacha kusex au bora nile peku...
 
Mi huwa natumia mafuta ya mgando, ila usithubutu ya nazi, yanaua nguvu zote, ila kwenda peku viwanja vya ugenini ni heri Nipige nyeto, hatari mkuu
 
Kama unakibamia ama mkuyenge wa kawaida hamna tatizo na show usisimamie sanaa piga kawaida tuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe kinundu siku nyingine kinakuwa na point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…