Baada ya Magufuli kuona picha aliyo-edit Idriss afanya haya

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Baada ya kuambiwa alicheka sana alafu akatikisa kichwa, akasema mpelekee na Mama Janeth aangaliye. Mama Janeth kakaa nayo anacheka.

Magufuli akasema hebu rudisha huku bwana, na ninyi wanawake mtafute wa kwenu wa kufanya sanaa kama hawa vijana wa kiume.

Britannica
 
Sanaa inamuhimu wake katika jamii, sanaa uburudisha, uelimisha, ujenga, na zaidi uleta umoja na ukaribu hata kwa wale walio mbali. Hata mie baada ya kuiona hiyo nilifurahia, mhusika kawasilisha sanaa yake kwa namna ya tofauti. Nilipenda! Nashangaa kama kuna mtu kajenga wazo baya katika hiyo sanaa! Well done Idriss!
 
V. A. R
 

Attachments

  • FB_IMG_1572479619839.jpeg
    32.3 KB · Views: 15
  • tapatalk_1572481097418.jpeg
    21 KB · Views: 14
  • tapatalk_1572481102937.jpeg
    55.7 KB · Views: 13
  • Screenshot_2019-10-31-02-55-24-1.jpeg
    13.7 KB · Views: 13
  • tapatalk_1572480941803.jpeg
    35.3 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…