Pre GE2025 Baada ya Mahojiano na Tundu Lissu mwandishi Sammy Awami apiga hodi nyumbani kwa Freeman Mbowe kwa Mahojiano pia!

Pre GE2025 Baada ya Mahojiano na Tundu Lissu mwandishi Sammy Awami apiga hodi nyumbani kwa Freeman Mbowe kwa Mahojiano pia!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu anahitaji adui nyakati zote kuanzia Magufuli, Lipumba,Slaa , Lowassa,Samia,Abdul ,Wenje na sasa Mbowe.
Trouble maker or is shit stirrer?
 
Sammy Awami mwandishi nguli wa BBC amepiga hodi Nyumbani Kwa Freeman Mbowe Kwa mahojiano

Sammy Awami ameshamuhoji Tundu Lissu ambaye alisema Kwa Miaka 21 Mbowe ameshindwa kushinda hata Kijiji akipewa miaka 5 atafanya maajabu Gani?

Stay tuned 🐼😂
balderdash politics
 
Mbowe yeye kutwa ni kulalamika tu.
 
Lisu kasema ameifanyia nini chadema kwa miaka yote ya uanachama na uongozi wake? Kijamaa kinajua kupiga porojo hicho !!!
Wenje: Makamu Mwenyekiti wa Chadema ni Cheo kidogo sana hakunaga majukumu tangible zaidi ya kuongoza Vikao Vya Nidhamu
 
Lile jengo walilonunua chadema mikocheni ni matokeo ya kura za urais wa lissu kupitia ruzuku
Ni pesa za ruzuku baada ya maridhiano mwanzo CDM walisusia hata ruzuku walikuwa hawachukuwi hivyo maridhiano yakawezesha kulipwa malimbikizo ya ruzuku zote.
 
Back
Top Bottom