johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Konyagi 🐼Mlevi 🚮🚮🚮
Mtahojiwa mwaka kesho.Na sisi wa Mapinduzi ya sultan tutahojiwa lini BBC acheni upendeleo....
balderdash politicsSammy Awami mwandishi nguli wa BBC amepiga hodi Nyumbani Kwa Freeman Mbowe Kwa mahojiano
Sammy Awami ameshamuhoji Tundu Lissu ambaye alisema Kwa Miaka 21 Mbowe ameshindwa kushinda hata Kijiji akipewa miaka 5 atafanya maajabu Gani?
Stay tuned 🐼😂
Mbowe yeye kutwa ni kulalamika tu.Sammy Awami mwandishi nguli wa BBC amepiga hodi Nyumbani Kwa Freeman Mbowe Kwa mahojiano
Sammy Awami ameshamuhoji Tundu Lissu ambaye alisema Kwa Miaka 21 Mbowe ameshindwa kushinda hata Kijiji akipewa miaka 5 atafanya maajabu Gani?
Stay tuned 🐼😂
Wenje: Makamu Mwenyekiti wa Chadema ni Cheo kidogo sana hakunaga majukumu tangible zaidi ya kuongoza Vikao Vya NidhamuLisu kasema ameifanyia nini chadema kwa miaka yote ya uanachama na uongozi wake? Kijamaa kinajua kupiga porojo hicho !!!
Lini alikua mwenyekiti? Punguza aibu mkuuLisu kasema ameifanyia nini chadema kwa miaka yote ya uanachama na uongozi wake? Kijamaa kinajua kupiga porojo hicho !!!
Lile jengo walilonunua chadema mikocheni ni matokeo ya kura za urais wa lissu kupitia ruzukuLisu kasema ameifanyia nini chadema kwa miaka yote ya uanachama na uongozi wake? Kijamaa kinajua kupiga porojo hicho !!!
Ni pesa za ruzuku baada ya maridhiano mwanzo CDM walisusia hata ruzuku walikuwa hawachukuwi hivyo maridhiano yakawezesha kulipwa malimbikizo ya ruzuku zote.Lile jengo walilonunua chadema mikocheni ni matokeo ya kura za urais wa lissu kupitia ruzuku
Kwani uongozi kwenye chama ni kwenye vikao peke yake?Wenje: Makamu Mwenyekiti wa Chadema ni Cheo kidogo sana hakunaga majukumu tangible zaidi ya kuongoza Vikao Vya Nidhamu
Kumbe kufanya kitu chamani kwenye uongozi ni lazima uwe mwenyekiti? Poor you !!Lini alikua mwenyekiti? Punguza aibu mkuu
Demokrasia hakuwa Mbowe pekee kunamlolongo mkubwa uliofanya Demokrasia ikuwe hapa Tanzania mfano akina Maalim Seif nk.Mbowe alifanya Tanzania kuona democracy.
Ngoja tena tuone
Nchimbi amefanya nini huko ccm hadi muda huu?Kumbe kufanya kitu chamani kwenye uongozi ni lazima uwe mwenyekiti? Poor you !!
Post #14 amekujibu vizuri sana. Bila hekima ya kufanya maridhiano hayo yote yasingewezekanaLile jengo walilonunua chadema mikocheni ni matokeo ya kura za urais wa lissu kupitia ruzuku
Hata Kijiji 😂Mbowe alifanya Tanzania kuona democracy.
Ngoja tena tuone