Tetesi: Baada ya Makamba, mabalozi watatu, wakuu wa mikoa watatu na wakuu wa wilaya saba kutumbuliwa

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
276
Reaction score
1,428
Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini.

Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo timu Membe..

Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
 
Pale Iringa pamejaa lindi kuchele namuona mchungaji Msigwa akicheka cheka!
 
Wakati sisi tuna—— CHOCHEA KUNI
—-
Tusisahau hizi ni drama zinazowahusu kijani na mitikasi yao... Yaani waparuzane hadi wachubuke haituhusu.

Sisi tunataka justice for Azory na tumuombe Prof. Kabudi asimame kwenye ule ukweli na atende Haki kwa familia ya Azory Gwanda
 
Kuna balozi mmoja wa nchi jirani, ana kashfa nyingi sana aliwahi kushika nafasi ya juu kweny chama. Nasikia yuko kweny list ya wanaofuatiliwa na zamu yake kuliwa imefika. Maendeleo hayana vyama. Kudadadekiiiii
 
Ungefanya la maana kama ungewataja kabisa

Back
Top Bottom