MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Umefurahia nini sasa hapa ?Safi sana ,untouchable now touchable,
Well done Magufuli
Pale Iringa pamejaa lindi kuchele namuona mchungaji Msigwa akicheka cheka!Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini.
Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo timu Membe..
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini.
Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo timu Membe..
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Safi sana ,untouchable now touchable,
Well done Magufuli