Safi Sana,kueni wazalendo tumieni samadi.Mbolea zimepanda maradufu... Mwaka ulopita wakiserikari ktk budget mfano mbolea ya primium DAP njombe ilikuwa 64,000/ Leo hii tawi lao primium njombe wanauza 88,000/ kwa mfuko wa 50kg.. Mbaya zaidi waziri mwenye dhamana amewapongeza wanao uza 80,000 maana ametoa ushuhuda kuwa dar ni 85,000/=
Wanaweza wanafanya hivyo na wakapewa kesi ya uhujumu uchumi.Halafu mkulima anaishia kuuza bei ya hasara, kwa sasa ndo wakati wakulima kupitia vikundi vyenu muweze kujenga maghala ya kuhifadhi mazao yenu muuze kipindi bei imechangamka na hata uwezekano wa kujenga viwanda vya kuchakata mazao yenu, kuongeza thamani na ubora.....serikali ndo imeshawatosa hivyo...
Duuu, na bado leseni za wavuta sigaraWakati wananchi wakipaza sauti kulalamikia tozo za miamala ya simu ambayo imeonekana kua mzigo na maumivu kwa wananchi sasa bei ya mbolea imeenda kupaa isivyo kawaida hivyo kuketa taharuki wa wakulima.
Kilimo ndo uti wa Mgongo wa taifa ambapo zaidi ya 70% ya wananchi wanajishughulisha na kilimo.
Bei ya mbolea imepanda gafla zaidi ya 30% jambo lisilo la kawaida ambapo mbolea ya urea iliyokua inauzwa 56,000 sasa imefika 84,000 . Huku Yara na CAN ikifika 86,000.
Tusuburi maumivu kwka wengi maana hiki kitakua kilio cha pilibaada ya Makato ya simu.
Na bei ya mazao iko chini sana.
WAKULIMA WANATESEKA[emoji26]