Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663

<br / br yaani mipango ilikuwa ni kuoana sasa baada ya yeye bintiye kutengana na mimi ndo mamaye kazidisha mawasiliano!Umeshasema ulishamuacha.... kwanini msirudiane kwanza ndo mpange harusi..... Sasa hapo utakua unamuoa huyo x-mpenzio au mama mkwe? Hakuna mapenzi hapo, sana sana nakushauri umuoe huyo MAMA MKWE wako.......... Na ataakuaje mama mkwe ilhali hamjafunga ndoa? Au mm ndo cjui KiSwahili?

<br / huyo mamaye nadhani kuna ki2 anataka akipate endapo nitafunga ndoa na mwanaye kwa maana kwa hali hii sijaonaNdugu sababu za kumuacha zimekwisha?usilazimishwe.ukisema hapana uwe unamaanisha.

<br / huyo mamaye nadhani kuna ki2 anataka akipate endapo nitafunga ndoa na mwanaye kwa maana kwa hali hii sijaona

<br / ni ule ukaribu tu wa kirafiki sasa nashangaa mamaye ndo anaongeza kana kwamba huyo mwanaye ndiye anayemuoa!

mmekaa kwa muda gani kwenye mahusiano???

mpenzi wako na mama yake wakoje (ukaribu wao)

je wewe na mama mkwe wako ukaribu wenu ukoje ???

je mmekuwa na mahusiano kwa muda gani
<br / ni ule ukaribu tu wa kirafiki sasa nashangaa mamaye ndo anaongeza kana kwamba huyo mwanaye ndiye anayemuoa!

<br / br muda wa miaka 2je mmekuwa na mahusiano kwa muda gani

<br / sinta kubali kamwewanakuandaa kuwa moja wa donor wa familia nni?

Huyo mama anakutaka ndo sababu aliamua kuvunja uhusiano wako na mtoto wake. Mpe mambo mheshimiwa. Mwanaume hasifiwi kula bali shughuli. Inakuwaje baada ya ww na binti yake kuachana arudi tena kukushawishi? Tafakari chukua hatua......................
<br / br yaani mipango ilikuwa ni kuoana sasa baada ya yeye bintiye kutengana na mimi ndo mamaye kazidisha mawasiliano!
Hapana nilizaliwa 25 year,s ago!