Baada ya mama yake 50 Cent sasa ni mama yake ya Jay-Z

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,805
kweli Dunia imevaa matambaa ,zile tabia za Sodoma zinaendelea kuzaga. hadi wale watumwa waliopelekwa huko wanasaidia ma boss wao kuusambaza usenge
 
Kwamba mama Jeizii ni shoga!?
Nb. English nina E
 
Habari kama hizi mkizipuuza nakutofungulia Uzi huwez ata waza kama zipo. ..
 
Jadilini kilimo cha tumbaku achaneni na hao, they're busy to brainwash the world.
 
Kwenye album ya 4:44 kuna nyimbo inaitwa smile kaongea sasa sijui ni rumours au ni kweli
 
Anamaanisha mama yake Jay Z amejitangaza kuwa ni Lesbian kama alivyo jitangaza mama yake Fifty cent kuwa ni Lesbian.
Trans - kirefu chake ni transgender maana yake ni mtu anajibadilisha jinsia tofauti na alivyozaliwa. Kama mwanaume anafanyiwa surgery anawekewa matiti huyo ni trans.
Lesbian anabaki na jinsia yake ya kike kama alivyozaliwa na anapenda ku date watu wa jinsia yake. Akiwa mwanaume anapenda mwanaume anaitwa gay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…