Baada ya Mancity kushinda na man u, chelsea kutandikwa....

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
1,634
Reaction score
1,001
Baada ya Mancity kushinda gemu leo, Man united, Chelsea kutandikwa, Man city anakuwa anamuacha anaefuatiwa kwa point 15.
Walisema mancity atafungwa tu na tutawakaribia, Swali... Wakati mancity anafungwa wao wanakuwa wanashinda?

Niliwahi kutabiri kuwa Manchester united bado ana gamu ngumu kama vile vile Mancity nae ana gemu ngumu. niliandika wagumu wa man ni hawa
1. Chelsea
2. Hot spur
3. Man City
4. Liverpool
5. Arsenal

Tayari mmoja kashafanya mauaji kamtandika mbili mtungi. na hao waliobakia hataweza kuwafunga wote, anaweza ashishinde mechi 3.



 
Niljua nifuraha ya ushindi mloupata Leo pale etihadi
 
Hawa mashetani wanakuwaga na makelele sana.........yaani wakifungwa huwa nasuzika sana moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…