Abbasfarudume JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,625 Reaction score 1,326 May 24, 2017 #1 Njaa inanukia...
moodykabwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 625 Reaction score 602 May 24, 2017 #2 Kamwe haitatokea hiyi
B bdo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,809 Reaction score 2,422 May 24, 2017 #3 unaongelea njaa gani? Kama ubingwa Yanga ilishakuwa bingwa kabla ya Manji, Yanga ilikuwepo kabla ya Manji na itazidi kuwepo, Yanga ni y wanachama. Tunashukuru Manji alikuwa na mchango mkubwa katika club kama kiongozi na kama mwanachama . "Daima mbele, nyuma mwiko"
unaongelea njaa gani? Kama ubingwa Yanga ilishakuwa bingwa kabla ya Manji, Yanga ilikuwepo kabla ya Manji na itazidi kuwepo, Yanga ni y wanachama. Tunashukuru Manji alikuwa na mchango mkubwa katika club kama kiongozi na kama mwanachama . "Daima mbele, nyuma mwiko"
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 May 24, 2017 #4 Dah!imeniuma sanaa maji kujiuzuru dah
Mpini Wa Chuma JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 1,728 Reaction score 1,327 May 24, 2017 #5 Ndala hao kumbe wao nitishio.... Ila u yebo yebo uko pale pale
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 May 24, 2017 #6 soma hilo jedwali ulilowekewa na mdau, halafu uje utuambie kipindi hiko Manji alikuwa mwenyekiti wa yanga sc ?
soma hilo jedwali ulilowekewa na mdau, halafu uje utuambie kipindi hiko Manji alikuwa mwenyekiti wa yanga sc ?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 25, 2017 #7 Yanga ilikuwepo kabla ya Yusuf Manji na itaendelea kuwepo baada ya Yusuf Manji.. Over..
Abbasfarudume JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,625 Reaction score 1,326 May 26, 2017 Thread starter #8 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mie maneno mawili tu bdo katoa jadwali zima la majibu