Baada ya maombi nimepata kazi,ashukuriwe Mungu

Punguzeni ujuaji jamani kila mmoja anaamini anachoona kwake ni sawa.
Kuna watu wanaamini hadi milima wanaomba na wanajibiwa .kuna ambao hawaamini kama mungu yupo wote wapo sahihi haina haja ya kulazimisha mawazo yako ndio yawe sahihi
 
Basi huyo Mungu aliyekupa kazi ana upendeleo. Achana na Mungu mwenye upendeleo, omba tu mizimu yako ikuongoze.
 
Hongera sana
 
Utukumbuke na sisi katika maombi mkuu,maana sio mchezo huu msoto
 
utumishi niko chini ya miguu yenu naombeni mniwekee barua hata kama tupu
 
Summary:
  • psychophysiological arousal
  • religious trance state/altered states of consciousness
  • somatic expression of emotion
  • connecting events to create meaning.
  • meaning attribution
 
Maombi au jitihada za kutafuta kazi na kufanya interviews bila kuchoka?
Bro hamna mtu aliekukataza kuamini unachoamini wewe, ndio maana inaitwa IMANI.

Unachoamini wewe uko sawa, na anachoamini mtu mwingine yupo sawa pia. Unavoamini ni jitihada upo sawa kabisa na yeye anavoamini ni maombi yupo sawa kabisa. 👍
 
Punguzeni ujuaji jamani kila mmoja anaamini anachoona kwake ni sawa.
Kuna watu wanaamini hadi milima wanaomba na wanajibiwa .kuna ambao hawaamini kama mungu yupo wote wapo sahihi haina haja ya kulazimisha mawazo yako ndio yawe sahihi
Umaskini wa waafrika ndio unawafanya waone kupata kazi ni Mungu.

Siku Afrika ikiweza kuwa na mamilioni ya kazi kama ilivyo kwa nchi za dunia ya kwanza, Imani hizi za kijinga zitakufa.
 
Bro hamna mtu aliekukataza kuamini unachoamini wewe, ndio maana inaitwa IMANI.

Unachoamini wewe uko sawa, na anachoamini mtu mwingine yupo sawa pia. Unavoamini ni jitihada upo sawa kabisa na yeye anavoamini ni maombi yupo sawa kabisa. 👍
Umaskini wa Afrika na Ukosefu wa ajira ndio unawafanya waafrika wengi waone kupata kazi ni Mungu.

Kumbe ni utawala mbovu na ujinga wa Serikali na viongozi wa Afrika.
 
Wale wa ndoto za shule ya msingi kutishana ni chai tu ?
 
Mkuu mimi Sina ushauri wowote mkuu, maana hiyo miezi 6 nilokuwa jobless hata huo ushauri ambao huwa nawapa watu kwangu nilivoufuata haukufanya kazi
 
Mkuu Infropreneur Mimi nakubaliana na wewe kwamba fursa za kazi Africa ziko limited lakini pia hata nje Kuna changamoto ya kazi pia ukitaka kuthibitisha hilo ingia YouTube andika SUBLIMINAL TO GET YOUR DREAM JOB yaan Kuna nyimbo za kufanya meditation ili upate kazi, ukienda kwenye hizo video fungua sehemu ya comments uone wazungu wanavolalamika kwa kukosa kazi muda mrefu kwahiyo utagundua unemployment is the global issue

Kitu kingine nakubaliana na wewe ni kuwa ukiendekeza maombi Kuna vitu vingine vinavyohitaji logic utataka kuvisolve kiimani jambo ambalo pia linakwamisha.

Okay Sasa tujenge uelewa wa pamoja Sasa kwa hicho kilichonitokea Wakati nimeingia kwenye maombi,
mkuu unajua nilitetemeshwa na kabla ya kutetemeshwa nilikuwa najisikia nataka kulia na hiyo hali siwezi kuizuia yan,halafu mikono inatembea yenyewe kuanzia kichwani hadi mabegani hadi kifuani hadi tumboni hadi kwenye mapaja then mchaksto unaanza tena opposite Kuna mikono inajiachia kama ndege anayepaa huku inatetemeka kwa nguvu,
Mimi muda huo nasema tu kwa JINA LA YESU maana hadi niliishiwa maneno
Kuhusu hii hali iliyonitokea je wewe unaizungumziaje?
 
Kwa hiyo ulivyo tetemeshwa ndio ukapata kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…