Baada ya maombi nimepata kazi,ashukuriwe Mungu

Hongera sana Mkuu...!

You were attacked Kwa sababu Kuna Mlango ulifungua, Umeona, una kazi Sasa, achana na Maisha ya Dunia hii, uone vile umeombewa na changamoto zimeisha ukaanza kupata pesa ukarudi kwenye Maisha ya starehe, Nguvu za Giza zitarudi, na this time itakua mbaya Sana.
 
Ahsante sana mkuu kwa huu ushauri,nitazingatia.
 
Ahsante sana mkuu kwa huu ushauri,nitazingatia.
Mti wenye Matunda ndiyo hupigwa mawe, uko na great destiny, na ndiyo Watu ambao SHETANI anahangaika nao, ili aweze kuiba kile kitu Cha Thamani ambacho Mungu aliweka ndani Yako, coz Shetani Hana uwezo wa ku create Destiny, ila Kwa vile Yuko na ujuzi, huutumia kutuibia destiny zetu na kuwapatia wale ambao wamekubari na kuamua kumsujudia..

Mungu akutunze.
 
Amina mtumishi,nipo makini Sana Sasa .
 
📌📌📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…