Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Ukraine baada ya majeshi ya Urusi kuanza kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyo Kursk ambayo yalikuwa yanadhibitiwa na Ukraine tangu Agosti 2024.
Russia ilifyatua makombora aina ya cruise na makombora ya balistiki kuelekea Ukraine katika shambulio kubwa usiku kucha, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema Ijumaa, huku akisisitiza wito wake wa kusitishwa kwa mapigano kwa muda
Shambulio hilo lililenga maeneo mbalimbali nchini Ukraine, likihusisha makombora karibu 70 na droni 200. Zelensky alisema mashambulizi hayo yalilenga miundombinu muhimu kwa maisha ya kawaida.
Baada ya mashambulizi hayo, Zelensky alisisitiza wito wa kusitisha mapigano kwa sehemu, akitaka marufuku ya makombora, droni za masafa marefu, na mabomu ya angani.
Mpango huu uliwasilishwa kwanza na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na kujadiliwa na viongozi wa Ulaya mjini Brussels.
Hii inakuja ikiwa ni siku chache baada ya serikali ya Donald Trump kutangaza usitishwaji wa misaada ya kijeshi pamoja na utoaji wa taarifa za kiintelejensia kwa Ukraine.
Hii inamaanisha kuwa kitendo cha majeshi ya Urusi kuchukua udhibiti wa Kursk kinaiacha Ukraine katika wakati mgumu sana. Je Umoja wa Ulaya utaweza kuziba pengo lililoachwa na Marekani ili Ukraine waendelee kupambana na Urusi?
==============================================================
Russia fired cruise and ballistic missiles at Ukraine in a major overnight attack, Volodymyr Zelensky said Friday, as the Ukrainian president renewed his plea for a partial ceasefire at the end of a week in which the United States suspended military aid and intelligence sharing with Kyiv.
Russia’s assault targeted several regions across Ukraine, using nearly 70 missiles and almost 200 drones, Zelensky said on X, adding that the “massive” attack was “directed against infrastructure that ensures normal life.”
Following the strikes, Zelensky again stressed his desire for a partial ceasefire – a plan first floated by French President Emmanuel Macron and since discussed by Ukraine’s European allies, who met Thursday in Brussels for a crucial European Union defense summit.
Echoing the plan outlined by Macron, Zelensky said he hoped there can be “silence in the skies – banning the use of missiles, long-range drones and aerial bombs,” as well as “silence at sea – a real guarantee of normal navigation.”
He added later Friday that “the most intensive work ever” is underway with US President Donald Trump’s team ahead of Zelensky’s visit to Saudi Arabia next week for negotiations to end the war in Ukraine.
But the Trump administration has dealt further blows to Ukraine this week, pausing military shipments to the country and cutting off intelligence sharing.
The White House also has suspended Ukraine’s access to commercial satellite imagery purchased by the US government through the company Maxar, spokespeople for the National Geospatial-Intelligence Agency and Maxar said Friday. Kyiv has long used this overhead imagery to track Russian troop movements, assess terrain and help in the planning of military operations.
Source: CNN