Baada ya Masandawana Kutolewa ,Yanga Ndio Timu Pekee Imebaki Kulinda Heshima ya Waafrika Kusini Mwa Jangwa la Sahara.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Yanga tunaomba mjitanidi sio tuu kuandika historia yenu na kuweka Tanzania kwenye ramani ya soka Bali nyie ndio Timu pekee imesalia kwenye mashindano ya CAF kuwakikisha Afrika Kusini Mwa Jangwa la Sahara..

Baada ya Mamelodi Sondowns kuondolewa Leo ,hakuna Timu nyingine ya ngozi nyeusi isipokuwa Yanga..

Kiukweli Yanga msipotwaa ubingwa ,Waarabu watatudharau sana,chonde chonde Jiandaeni kupigania race na heshima ya mtu mweusi..

Nawatakiwa Kila la kheri mkapambane kufa na kupona kombe libakie Yanga,Tanzania na Afrika Kusini Mwa Jangwa la Sahara.
 
Naona Simba wanapita kimya kimya 😂😂

Wanayanga mko wapi? Mnaziachaje Bilioni 11 Kwa mfano
 
Acha ubaguzi wewe, mambo ya race yanaingiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…