Elections 2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

Lolote laweza tokea kwani muda bado hatuja mpata rais utajuaje atatokea dirishani?
 
Wameumbuka, ni aibu kiasi gani wameiingia? Wanaonekanaje in front of public? Hii inaonyesha ni kiasi gani hata wachungaji wa kondoo za Bwana wasivyoweza kutafakari hadi kufikia hatua ya kumuunga mkono mtu anayeonekana dhahiri mbele ya jamii si mwadilifu. Inaonyesha na wao ni waganga njaa tu. Wanalolihubiri na wanayoyatenda ni vitu viwili tofauti. Chezea pesa wewe....!!!:glasses-nerdy::glasses-nerdy::A S-cry:
 
Wen they fail to distinguish their emotional and God's inner voice
 
ndo maana siku hizi wamekua kimya,washajua lolote laweza kutokea na wakaumbuka....
 
Na TB Joshua nae yumo, si aliwahisema ENL ndo raisi wa awamu ijayo Tanzania.
 
Siku zote viongozi wa dini wajifunze kusimama katika ukweli
Na wawe wanajaribu kujipa muda wa kufikiri sio kukulupuka. Na haya ndio makosa mengi sana wanayo yafanyaga viongozi wa dini
Utasikia mara ametumwa na mungu na ikafikia wakati huyo bwana waka mfananisha na mtume yako wapi sasa.
 
hivi mtu kutumia gharama zote hizo kuanzia kwenye kutangaza nia, kuchangia makanisa, kuhonga wanafunzi Wa vyuo vikuu Dodoma kwenda kumshindikiza angombee urais, Boda Boda kutoka iringa eti na wao wanamshindikiza pamoja na wachungaji bila kumsahau askofu gwajima hivi kweli watanzania ni haki mbele za Mungu kumpa kula huyu mtu tutafakali na tuchukue hatua kuna nini huko!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu popote ulipo agiza mzinga nitapita kulipa!
 
Sioni wa kumzuia Edo kuwa mgombea kwa ticket ya chama chake!... January, Sumaye, Sitta, Membe et al wajipime kisha wapite kuhesabiwa... Nyota ya Lowassa inang'aa...
wapi sasa hivi mkuu!
 
Hawa mapadri walikuwa wanaona mbali sana,kama si ubishi wa mazee ya ccm leo taifa hili lingekuwa hivi lilivyo.
 
Mmeanza kufukua, subirini angalau 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…