Baada ya matatizo, leo nimerudi nyumbani

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Nyumban ni nyumbani, nina line za mitandao yote, miezi miwili iliopita, Voda walibadilka wakawa hawana kazi nikahamia tigo na airtel ambayo ili nipate kazi nzuri kwa eneo nilipo, ni lazima niitege simu sehemu fulani.

leo mambo yakawa tofauti, nikakumbuka nina line ya TTCL, nikaweka kwa kweli kumenoga, ndio niliko sasa hivi. nimerudi nyumani baada ya matatizo, nyumban ni nyumbani.
 
Nami niko huko kwa sasa pia, nilitest cha 500 nikaona speed inaridhisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…