Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

Soon najilipia mahari najioa, sitaki stress na binadamu mwenzangu nisije kulisha sumu toto la mtu bure ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Yule mwenzio alijioa ...sijui kama alimaliza mwezi akajipa talaka ati amechoka na upweke ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿค’
 
Umeshazoea kujichua unatuletea zako,hebu funga miguu wakati wote kama utatoboa
 
Yule mwenzio alijioa ...sijui kama alimaliza mwezi akajipa talaka ati amechoka na upweke ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿค’
Mimi najioa halafu nitakuwa nachepuka ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Sawa, pole ila punguza uzungu ktk kumpa heshima mumeo. Mfano unapotumia neno Mr huoni km linaondoa hisia na heshima kwa huyo mtu wako. Anyway, labda ni style na lugha yenu ya mazungumzo.

Mi binafisi MKE hawezi kuniita Mr wala mimi siwezi kumuita Mrs. By the way it's personal life style
 
Sio kwamba hisia nae kwa akichokufanyia, sema tu ukwel kwamba NYETO IMEKUKOLEA.
mbona simple tu na utaeleweka???
 
Kama hamjapata watoto bora mvunje ndoa,kwann uteseke na maisha ni mafupo hivi

Tunaishi maramoja tu
Achaa kumdanganya mwenzio, aruke mkojo akanyage mavi,hiyo ndiyo ukisikia ndiyo mitihani ya ndoa, hapo ndiyo imani zenu wote zinapimwa!!
 
Je kabla ya kulalamika ulisha jiuuliza nini chanzo cha Mume wako kutoka na rafikio!? Isije kuwa wwe ndiyo chanzo sema hujui tu hadi mume wako akwambie ukweli wote!!??
 
Nicheki nikulombe
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ