Baada ya Matibabu ya Ectopic (Mimba nje ya Kizazi)

Baada ya Matibabu ya Ectopic (Mimba nje ya Kizazi)

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Mwanamke anapotibiwa kwa upasuaji wa Ectopic, na kupewa muda wa kusubili ili apate Mimba Nyingine., akipata Mimba Nyingine anajifungua kwa Njia gani?

Je ni kwa upasuaji au anajifungua Kawaida.

Je, Kuna Mambo gani anapaswa kuyaepuka mwanamke aliefanyiwa matibabu ya Ectopic anapokua mjamzito?
 
Mwanamke anapotibiwa kwa upasuaji wa Ectopic, na kupewa mda wa kusubili ili apate Mimba Nyingine.
Akipata Mimba Nyingine anajifungua kwa Njia gani.
Je Ni kwa upasuaji au anajifungua Kawaida.
Je Kuna Mambo gani anapaswa kuyaepuka mwanamke aliefanyiwa matibabu ya Ectopic anapokua mjamzito.
Hapo ni kisu tu.
Akae walau mwaka kuacha majeraha yapone
 
Hapo ni kisu tu.
Akae walau mwaka kuacha majeraha yapone
Daktari...nadhan anaweza kujifungua kawaida tu
Kumbuka mimba ilikuwa kwenye fallopian tubes na sio kwenye uterus
So...hakuna scar yoyote kwenye uterus
Ingekua kuna scar kwenye uterus basi ingebidi afanyiwe c/section nyingine
Kwahyo hapo itakua ni normal delivery tu mkuu
 
Back
Top Bottom