Tanzania haina timu ya kucheza World 🌎 Cup, wao wanachezea kwenye vyombo vya habari na humu mitandaoni.
Tunaanza kupiga hesabu za faida kwenye karatasi. Tukijitahidi saaana tutaishia kushika nafasi ya tatu kisha tutasema bahati haikuwa upande wetu. Believe me.