Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mama kawaumiza sana Vijana wa CCM, hili wala halina ubishi wala haliwezi kuwa mada ila cha kusikitisha ni mambo wanayoyafanya hao MATAGA ni ujinga mtupu.
Moja, wameamua kujitoa kwenye makundi yao ya WhatsApp ili kuonyesha kutoridhika baada ya kukitumikia chama hasa kwa kumtusi Mheshimiwa Mbowe usiku na mchana na Mama kuwachomolea mbavuni.
Pili, kuamua kuwafuata baadhi ya Watu/WanaCHADEMA "influential" na kuwaangukia ili wawasaidie kuwafikishia ujumbe wao.
Hata hivyo, hili nalo lime"backfire" baada ya Mayor Mstaafu Boniface (miongoni mwa waliofuatwa) kuwakatalia katakata "dhambi" hio na kuwataka wapambane na hali zao.
Kama hali itaendelea hivi basi kuna kila dalili uasi ndani ya UVCCM na CCM kwa ujumla ikawa wazi zaidi.
Poleni sana sana, hakuna CV ya kumtusi Mbowe this time ambayo itaukulipa!
Wacha nielekee hapo Police Mess (Tabora) nikale "Abuuja" kwanza....