Baada ya mazungumzo Pochettino akubali kuondoka PSG

Baada ya mazungumzo Pochettino akubali kuondoka PSG

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Inaelezwa kuwa Kocha Mauricio Pochettino anaondoka Paris Saint-Germain baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miezi 18.

Kocha huyo raia wa Argentina ameshinda taji la Ligue 1 lakini aliishia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, matokeo ambayo inadaiwa yamechangia kuondoka kwake klabuni hapo.

Makocha wanaopewa nafasi ya kuziba mikoba ni Zinedine Zidane, Jose Mourinho na Christophe Galtier.

Source: DailyMail
---

Mauricio Pochettino: Paris St-Germain coach to leave after talks with club

Coach Mauricio Pochettino is to leave Paris St-Germain following talks with the club at the end of last week.

PSG are still to make a formal announcement but it is understood the former Tottenham manager, 50, will not serve the final year of his contract.

Zinedine Zidane, Jose Mourinho and Nice coach Christophe Galtier are among those linked with replacing Pochettino.

PSG regained the French title last term but the Argentine failed to lead them beyond the Champions League's last 16.

Although they were beaten by eventual winners Real Madrid, PSG held a 2-0 aggregate advantage with less than half an hour remaining in their second leg.

Pochettino claimed the first trophies of his managerial career with PSG - the 2021 Coupe de France and 2022 Ligue 1 title - but the club's hierarchy felt that was the minimum he should achieve given the squad at his disposal.

The ex-Spurs manager was considered a potential replacement for Ole Gunnar Solskjaer at Manchester United before they appointed interim boss Ralf Rangnick and then Solskjaer's permanent successor Erik ten Hag.
 
Pochettino ni kocha wa kawaida kuziwezesha timu zenye uhitaji wa kuingia big 4 kwenye Ligue lakini sio kocha anyeweza kupigania ubingwa wa champions Ligue.
 
Uchawi upo yaani !! Pochetino uzuri wake sijawahi kuuona kabisa !!
 
Back
Top Bottom