Baada ya Mbowe na Zitto Kabwe Kustaafu ni Wakati Sasa wa Chadema na ACT wazalendo kuimarisha Ushirikiano Mawakala wa CCM hawapo tena!

Baada ya Mbowe na Zitto Kabwe Kustaafu ni Wakati Sasa wa Chadema na ACT wazalendo kuimarisha Ushirikiano Mawakala wa CCM hawapo tena!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni Ushauri tu Kwa sababu iliaminika Freeman Mbowe na Zitto Kabwe ni Mawakala wa CCM

Ni vema Tundu Lisu na Othman Masoud wakaviingiza vyama vyao kwenye Ushirikiano

Ahsanteni sana 😄
 
Mbowe hajastaafu, ameshindwa uchaguzi

AIBU yake mmachame yule asiyejua kusoma alama za nyakati
 
Ni Ushauri tu Kwa sababu iliaminika Freeman Mbowe na Zitto Kabwe ni Mawakala wa CCM

Ni vema Tundu Lisu na Othman Masoud wakaviingiza vyama vyao kwenye Ushirikiano

Ahsanteni sana 😄
Labda waungane kuzuia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
 
ACT hawezi kuungana na chama kinachotetea ushoga kwa kivuli cha haki faragha.
 
Back
Top Bottom