johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo la asili bara na pwani!Ni Ushauri tu Kwa sababu iliaminika Freeman Mbowe na Zitto Kabwe ni Mawakala wa CCM
Ni vema Tundu Lisu na Othman Masoud wakaviingiza vyama vyao kwenye Ushirikiano
Ahsanteni sana π
Labda waungane kuzuia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.Ni Ushauri tu Kwa sababu iliaminika Freeman Mbowe na Zitto Kabwe ni Mawakala wa CCM
Ni vema Tundu Lisu na Othman Masoud wakaviingiza vyama vyao kwenye Ushirikiano
Ahsanteni sana π
Watazuia kwa kifungu gani cha katiba?Labda waungane kuzuia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
ACT Wazalendo ni Mali halali ya CCMNi Ushauri tu Kwa sababu iliaminika Freeman Mbowe na Zitto Kabwe ni Mawakala wa CCM
Ni vema Tundu Lisu na Othman Masoud wakaviingiza vyama vyao kwenye Ushirikiano
Ahsanteni sana π
Kwaio unashauri waende wakapate mbunge mmoja?Watazuia kwa kifungu gani cha katiba?