Baada ya mdomo kua mrefu na drama za kijinga nimemrudisha wife kwao halafu nimetafuta house girl. Nimegundua mambo kadhaa

Baada ya mdomo kua mrefu na drama za kijinga nimemrudisha wife kwao halafu nimetafuta house girl. Nimegundua mambo kadhaa

Mrudishe sasa sio ujifanye kiburi atokee wa kumshawishi vinginevyo. Trust me ni suala la ushawishi tu. Kama amejirudi usimpe sababu ya kumpa nafasi mtu wa kumpa faraja kwa stress unazompa. MRUDISHE NYUMBANI MKEO.
 
Sawa bwana umeshinda. Ila nina tatizo moja apo kwenye mbususu ya kujipimia mi sijaoa ila mbona naskiaga kuna mda wanakataaga, mara wakalale sebleni, wajifanye wanaumwa, aseme kachoka au sio ya kweli haya
 
Ntamrudisha mkuu, mimi mwenyewe nime mmiss sana sana hata huo muda niliopanga sidhani kama utatimia
 
Sasa kama ni hivyo mbona ni wewe unayehangaika mpaka umeileta hapa? Kwa hali ya kawaida yeye mwenye shida ndio angeleta mada hapa kulalamika, lkn ajabu wewe ndiye unayelia lia hapa halafu unasema eti anakutafuta, ingekuwa kweli huyo Demu ndio angeanzisha uzi hapa kuomba ushauri, acha kujidanganya kama kakumbia kamwombe msamaha arudi akikubali, …
 
Mkuu yeye hatumii JF hayupo humu yeye ni mtu wa Quara na twitter
Sasa kama ni hivyo mbona ni wewe unayehangaika mpaka umeileta hapa? Kwa hali ya kawaida yeye mwenye shida ndio angeleta mada hapa kulalamika, lkn ajabu wewe ndiye unayelia lia hapa halafu unasema eti anakutafuta, ingekuwa kweli huyo Demi ndio angeanzisha uzi hapa kuomba ushauri, …
 
Miezi 3 iliyopita alinikera sana kwa kauli mbaya na drama, vurugu ili mradi hakuna utulivu nikawa namtazama tu napotezea ikafika hatua akaota mapembe analeta kauli juu yangu, nikasema yatosha nikamrudisha kwao afu nikaleta house girl.
Bado sijaona kosa
 
Sawa bwana umeshinda. Ila nina tatizo moja apo kwenye mbususu ya kujipimia mi sijaoa ila mbona naskiaga kuna mda wanakataaga, mara wakalale sebleni, wajifanye wanaumwa, aseme kachoka au sio ya kweli haya
Mkuu kila ndoa iko tofauti kama ambavyo watu tuko tofauti wafupi kwa warefu, weusi kwa weupe nk.

Binafs kati ya burudani zangu ni pamoja na kuchakata mbususu na wife analitambua hilo na kamwe hanipangii ila tu binafsi mood hua inakata kukiwa hakuna utulivu nye nye nye hua zinanitoa kabisa kwenye mood.
 
Basi labda analalamikia huko kama wewe hapa!
Hapana tangu aende kwao hajawa mtu wa mitandaoni tena jambo ambalo pia linanivutia maana twetter ilikua kama maji ya kunywa kwake nikupost magauni nila dakika ila tangu kaondoka na twetter timeline handle yake imekua domant kabisa
 
Mambo ya kawaida inafaa umrudishe nafikiri somo limeshaeleweka teyari
 
Back
Top Bottom