Baada ya Mdude Nyagali kuanza kujitetea kwa hoja nzito Mahakamani apigwa na kuteswa zaidi Gerezani kwa madai ya kuisumbua Serikali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Madai haya mapya yametolewa mahakamani jijini Mbeya , ambako Mdude Nyagali anaendelea kujitetea dhidi ya tuhuma za uongo alizobambikiwa kinyama za madawa ya kulevya .

Mdude amedai mbele ya Mahakama huku machozi yakimtoka kwamba , baada ya kuanza kujitetea tarehe 25 march 2021 , na kesi yake kuahirishwa hadi leo 8 April 2021 , tarehe 26 alipigwa sana na kuteswa ndani ya Gereza , ambapo watesaji na wapigaji hao ambao ni Maofisa Magereza walimshutumu Mtuhumiwa Mdude kwa makosa mapya ya kuisumbua serikali.

Mdude ameiambia Mahakama kwamba anawafahamu watu wote waliompiga na kumtesa , Kesi hiyo ingali bado inaendelea ambapo muuza unga huyu wa kutengenezwa anaendelea kujitetea .

Chama chake cha CHADEMA kinafuatilia unyama huo uliotendwa dhidi ya Mdude


NO HATE NO FEAR .
 
Ilani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.

Haisemi ufisadi umeisha.

Hata Ulaya kina Morinyo, Messi, Ronaldo mara kwa mara tunasikia aamepelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi.

Hata Chadema wabunge wengi walihama mwaka jana sababu ya ufisadi michango yao. Kinachotakiwa ni kuendelea kupambana na ufisadi
 
Hakuna mbunge aliyehama Chadema kwa sababu ya michango , wote walinunuliwa .
 
Kama hili nalo limeorodheshwa kwenye yale ya "urithi" itabidi mvumilie tu.
 
Muuza madawa akakae mlowo? Hawajui hata kuframe kesi waliahindwa kusema anauza hata vipodozi feki? Lakini mwisho wa ubaya ni aibu
Sasa hao wapuuzi wenyewe walio mbambikizia hiyo kesi unakuta ni uvccm walioko tiss! unategemea nini!

Walau hata alimfaidi yule manzi wa A town kwa kumtafuna kwa siku kadhaa kabla ya kuondoka na kumuachia huo msala wa kubambikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…