Baada ya mechi ya leo kumalizika, Lawama zote atatupiwa Babu Onyango

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Hawa ndugu zetu Huwa lazima watafute mtu wa kumuangushia jumba bovu, Yaani Huwa wakifungwa lazima watafute mchawi wao.

Kamera ya bibi yangu imenionesha leo baada ya mechi babu Onyango ndio atakuwa muhanga wa kipigo kikali watakachopigwa.

Natangulia pole nyingi sana kwa Babu Onyango
Karibuni tumpe pole Babu Onyango
JamiiForums-1160611.jpg
 
Kwa tuliosoma cuba, Simba hatoki chini ya bao 5 leo. Kapigwa chache ni bao 5, Simba anagongwa 7 au 8.
 
Sjui nitoe njee,sjui nibutue mbele, sjui nimtie chenga, mara sjui nidake tu huu mpira🤣🤣. hakili ya huyu mzee Game kama hiz hua hazichaji kabisa ana Daka wenge mnoo.
Sio sir onyango ni mzuriii Sanaa🤣🤣.
Leo lazima itokee penalty kutokea kwake I'ma kudaka mpira, au faul za kishenzi.
 
Ila wachezaji wa simba na benchi lao la ufundi, wanaonewa sana na mashabiki wao.
 
Hawa ndugu zetu Huwa lazima watafute mtu wa kumuangushia jumba bovu, Yaani Huwa wakifungwa lazima watafute mchawi wao.

Kamera ya bibi yangu imenionesha leo baada ya mechi babu Onyango ndio atakuwa muhanga wa kipigo kikali watakachopigwa.

Natangulia pole nyingi sana kwa Babu Onyango
Karibuni tumpe pole Babu OnyangoView attachment 2602572
Hakuna cha lawama wala nini leo atapongezwa
 
Hawa ndugu zetu Huwa lazima watafute mtu wa kumuangushia jumba bovu, Yaani Huwa wakifungwa lazima watafute mchawi wao.

Kamera ya bibi yangu imenionesha leo baada ya mechi babu Onyango ndio atakuwa muhanga wa kipigo kikali watakachopigwa.

Natangulia pole nyingi sana kwa Babu Onyango
Karibuni tumpe pole Babu OnyangoView attachment 2602572
🤣🤣🤣🤣
 
Onyango akalee wajukuu tu, jana kapigwa chenga mpaka akakaa chini anasubilia apewe maji ya kunywa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom