babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Hakuna cha lawama wala nini leo atapongezwaHawa ndugu zetu Huwa lazima watafute mtu wa kumuangushia jumba bovu, Yaani Huwa wakifungwa lazima watafute mchawi wao.
Kamera ya bibi yangu imenionesha leo baada ya mechi babu Onyango ndio atakuwa muhanga wa kipigo kikali watakachopigwa.
Natangulia pole nyingi sana kwa Babu Onyango
Karibuni tumpe pole Babu OnyangoView attachment 2602572
,Na tayari kashafanya yake
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]onyango kashafanya maajabu yake
Simba wanatetema tu uwanjani
🤣🤣🤣🤣Hawa ndugu zetu Huwa lazima watafute mtu wa kumuangushia jumba bovu, Yaani Huwa wakifungwa lazima watafute mchawi wao.
Kamera ya bibi yangu imenionesha leo baada ya mechi babu Onyango ndio atakuwa muhanga wa kipigo kikali watakachopigwa.
Natangulia pole nyingi sana kwa Babu Onyango
Karibuni tumpe pole Babu OnyangoView attachment 2602572
Onyango akalee wajukuu tu, jana kapigwa chenga mpaka akakaa chini anasubilia apewe maji ya kunywa🤣🤣🤣Hawa ndugu zetu Huwa lazima watafute mtu wa kumuangushia jumba bovu, Yaani Huwa wakifungwa lazima watafute mchawi wao.