msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Shida ni hawa viongozi wetu wababaishaji mnoAisee, Bongo bahati mbaya.
Yanga tunabahati kupata makocha wazuri sana.
Pluijm kasepa
Yule Mzambia nae alkuwa mzuri sana
Zahera jamani, mbona sisi Bundi haishi kulia.?
Bila shaka hii ni kauli ya mwana msimbazi. Hakuna mwana yanga atakayefurahia kuondoka kwa afisa mipango Mr. Zahera MwinyiAkwendeee zake!Anavunga ana uchungu na Yanga utadhani Yanga wana tawi lao huko Kongo.Mtu wa kuja unavunga unaijua sana Yanga,kafie mbele!Tuache na Yanga yetu.
Soka la Bongo ukitaja Yanga huwezi acha Simba ndo maana saiz mnajaa Kwenye mabanda kuiangalia Yanga game za TPL,Mbona game za Azam hamjai vibandani? Au kwenda chamanziHahahaha jamaa anaanza kutafuta sababu
kumbe anaigopa simba
Zahera anarudi tar 26/12/2018Aisee, Bongo bahati mbaya.
Yanga tunabahati kupata makocha wazuri sana.
Pluijm kasepa
Yule Mzambia nae alkuwa mzuri sana
Zahera jamani, mbona sisi Bundi haishi kulia.?
Anarudi tar 26/12/2018ndo hivyo kashasepa zake France hamna namna tena labda tuutimue uongozi wote ili arudi
Nyika baadaye anaweza kuwa nyumba moja na kina malinzi asipokuwepo makiniShida ni hawa viongozi wetu wababaishaji mno
Soka la Bongo ukitaja Yanga huwezi acha Simba ndo maana saiz mnajaa Kwenye mabanda kuiangalia Yanga game za TPL,Mbona game za Azam hamjai vibandani? Au kwenda chamanzi
Acha uongo mmnajaa vibanda umiza ili tu kujua matokeo bahati nzuri mnatoka kichwa chini miguu juuMimi sipendagi kuangalia gemu za yanga maana huwa siwaelewi jinsi wanavyo cheza
Sababu anajua ujinga wa Soka la Bongohahaha yan anachoogopa huyu kocha ni kufungwa na simba tu[emoji3][emoji3][emoji3]simba ipo nafas ya 3 ila bado anaiwaza cjui kwann, kwann asiizungumzie azam iliyo nafas ya pili? [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe unaangalia gemu za Mbumbumbu fc pekee yake tu?Mimi sipendagi kuangalia gemu za yanga maana huwa siwaelewi jinsi wanavyo cheza
wewe
Wewe unaangalia gemu za Mbumbumbu fc pekee yake tu?
Acha uongo mmnajaa vibanda umiza ili tu kujua matokeo bahati nzuri mnatoka kichwa chini miguu juu