sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hapo Azam kavaa koti la kuazima tu; mwenyewe nalo atalichukua wakati wowoteMsimamo bado haujapendeza vizuri. Mpaka Yanga akae juu
GF magoli ambayo timu imefunga kwa ujumla wa mashindano husika,GA magoli ambayo timu imefungwa kwa ujumla wa mashindano husika GD tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwaNaomba kujuzwa GF GD na GA zina maana gani
GF= Goals For, yaani idadi ya mabao ambayo timu imefungaNaomba kujuzwa GF GD na GA zina maana gani
Kwa hiyo Ntibazonkiza na yale magoli yake ya penati, hata kwenye hiyo list hayupo!!!
Kuna mchezaji mmoja pale Simba ambaye penalty zote ni zake; mwaka jana zilimbeba vizuri lakini naona mwaka huu hazijamsaidia.