Potelea mbali,degree yetu kasoro mwez mmoja tutaitumia mtaani!
Usiseme hivyo,omba mambo yawe tofauti!
Nimesoma Saut Mwanza enzi za mkuu wa chuo alikua Dr Kitima,ilikua ni ubabe kwa kwenda mbele,kuna wasabato waligoma kupiga paper jumamosi,kidogo wafukuzwe,walipiga magoti kuomba wafanye paper moja next academic year!!
Nakumbuka kipindi hicho vyuo vikuu vilikua chini ya wizara ya sayansi na tech,waziri alikua Peter Msola,boom lilichelewa kutua kwa warumi,warumi wakatunyima no za examz,tulimtwangia phone Msola kuomba msaada,akasema mwambie mkuu awape no!!
Tukaenda kwa kitima,tukasema tumeongea na Msola kasema utupe no serikali watalipa pesa baadae!!
Alichukua simu,akampigia Msola,akamwambia no siwapi wateja wenu,akasema hapa Tanzania anapokea order toka kwa Kardinali Pengo tu!!
Baadae kabisa ndo akatupa no, baada ya Pengo kuongea nae!!
Kuna wengine walifukuzwa mwaka 2012,bado week moja paper za second semester mwaka wa tatu!!
Walishafukuza wanafunzi wote,nyegezi seminar,akafanya paper mwanafunzi mmoja tu,sikumbuki ni form four au six!!
Mkuu warumi ni dora kamili,muulize Fr Dr (Hons) Aidan Msafiri kilichomtoa mwanza na kuletwa mtwara! Muulize Askofu Kilaini kilichomtoa Dar Es Salaam na kupelekwa Bukoba!!