Juve wabadilishe kocha tu, Pirlo hakuna kitu, wakizingua wasipomaliza top 4 Ronaldo anaondoka.Conte aliiwekea Juventus history, Conte kaivunjia Juventus history. Je ndio mwanzo wa kuendeleza ufalme wa serie A akiwa na Intermilan?
Wangemuacha sarri tuu.Juve wabadilishe kocha tu, Pirlo hakuna kitu, wakizingua wasipomaliza top 4 Ronaldo anaondoka.
Top four nayo ni ngumu inabidi ashinde game ya milan,,sassuolo,,intermilan na Atalanta wenyewe,, Mana wa pili,tatu na nne wote wamefungana pointJuve wabadilishe kocha tu, Pirlo hakuna kitu, wakizingua wasipomaliza top 4 Ronaldo anaondoka.
Yah ni kweli bora ya Sarri kuliko Pirlo.Wangemuacha sarri tuu.
Safi sanaInter Milan imetwaa ubingwa wa Italy baada ya miaka 11 kupita na kumaliza utawala wa Juventus ambayo imetwaa ubingwa kwa Mara kumi(10) mfululizi.
Mara ya mwisho inter kutwaa ubingwa ni msimu 2010/11 Chini ya kocha Mourinho na leo imetwaa ubingwa chini ya kocha Antonio Conte baada ya Atalanta kutoa draw na Sasoulo ivyo kuweka tofauti ya pointi 13 huku zikiwa zimebaki mechi 4 ambazo ni sawa na pointi 12.
Wanamrudisha Allegri at the end of the season. Pirlo bye bye.Juve wabadilishe kocha tu, Pirlo hakuna kitu, wakizingua wasipomaliza top 4 Ronaldo anaondoka.