SoC04 Baada ya miaka kadhaa hatutakuwa na vijana wenye nguvu kama taifa

SoC04 Baada ya miaka kadhaa hatutakuwa na vijana wenye nguvu kama taifa

Tanzania Tuitakayo competition threads

mankizzo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
247
Reaction score
116
Vijana wanaangamia na kupotea kupitia mitindo ymaisha ya kuiga, kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya, na wengine huingia kwenye janga kubwa kwa sasa la mapenzi ya jinsia moja, ushoga, kulelewa.

Tupate suluhisho sahihi au njia ya kupunguza haya kwa vijana wetu.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom