Vijana wanaangamia na kupotea kupitia mitindo ymaisha ya kuiga, kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya, na wengine huingia kwenye janga kubwa kwa sasa la mapenzi ya jinsia moja, ushoga, kulelewa.
Tupate suluhisho sahihi au njia ya kupunguza haya kwa vijana wetu.