Juzi umeaga umepata mume unaolewa na id yako ya da mau, leo umekuja na mpya ili kuziba pengo, id ya bichwa umelog off, umeswitch hii unaanza kutukera sasa π€£π€£π€£Umelizoea jiji tayari, so unasumbua watu π π .
Unajaza servers tu
Nitaanza kukufatilia kwa umakini nijue I'd zako zote wewe πJuzi umeaga umepata mume unaolewa na id yako ya da mau, leo umekuja na mpya ili kuziba pengo, id ya bichwa umelog off, umeswitch hii unaanza kutukera sasa π€£π€£π€£
Baadae utakuja na ile ya equation x πππ
Halafu nasikia na id ya fifi fire yako pia π€£π€£π€£π€£Nitaanza kukufatilia kwa umakini nijue I'd zako zote wewe π
Nazi note pembeni zote unazotaja. Endelea kutoa siri zako π πHalafu nasikia na id ya fifi fire yako pia π€£π€£π€£π€£
We kiumbe tupumzishe na id zako khaa!! πππNazi note pembeni zote unazotaja. Endelea kutoa siri zako π π
UNA UMRI GANI MDOGO WETU???