Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Una mpangia sio?huyu nae azae sasa wenzake wote wanaitwa mama....
huyu nae azae sasa wenzake wote wanaitwa mama....
Kuwa mwangalifu na maneno yako ndugu. Bado unaishi yaweza kukutokea makubwa zaidi ya kushindwa kuzaa. Usimlaumu mtu kwa kitu ambacho hana uwezo nacho!huyu nae azae sasa wenzake wote wanaitwa mama....
kwa io na zile mimba zote alizotoa hakuwa na uwezo nazo?Kuwa mwangalifu na maneno yako ndugu. Bado unaishi yaweza kukutokea makubwa zaidi ya kushindwa kuzaa. Usimlaumu mtu kwa kitu ambacho hana uwezo nacho!
hata sielewiAkizaaa au asipozaaa wewe unafaidi nini!?
You must be out of your mind....Vanessa ni mara tano zaidi ya Jide!
tabia za kimama hizi...pumbavuhuyu nae azae sasa wenzake wote wanaitwa mama....
We kuzaa sio kama kwenda chuoni!huyu nae azae sasa wenzake wote wanaitwa mama....
pumbavu mama ako.tabia za kimama hizi...pumbavu
Fala wewe kuzaa umpangie mtu ,shwaini mkubwahuyu nae azae sasa wenzake wote wanaitwa mama....
Hamna kitu Vanessa anabebwa na kiki mnoVanessa ni mara tano zaidi ya Jide!
Wakumpokea kijiti bado hajapatikana lkn kwenye foleni yupo Vanessa Mdee akikaza atapokea. Nandy mzuri kwenye kuimba lakini hajui kuandika, ngoma zake anaandikiwa hivyo wenyewe wakigoma atapotea kama Lina, Ruby na Rachel.