idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Feb 7, 2014 #21 Matola said: Haya njoo mango niko hapa nawapa pombe wacongo wananisifia utazani nimeshakufa. Click to expand... Mkuu naona siku hizi upo ku relax tu, maana sikuoni kwenye jukwaa la presha.!!!
Matola said: Haya njoo mango niko hapa nawapa pombe wacongo wananisifia utazani nimeshakufa. Click to expand... Mkuu naona siku hizi upo ku relax tu, maana sikuoni kwenye jukwaa la presha.!!!
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Feb 7, 2014 #22 Matola said: Haya njoo mango niko hapa nawapa pombe wacongo wananisifia utazani nimeshakufa. Click to expand... Aaah ah binamu umetisha eti wanakusifia kama umeshakufa, kwani mtu akifa anasifiwaje
Matola said: Haya njoo mango niko hapa nawapa pombe wacongo wananisifia utazani nimeshakufa. Click to expand... Aaah ah binamu umetisha eti wanakusifia kama umeshakufa, kwani mtu akifa anasifiwaje
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Feb 8, 2014 #23 idawa said: Mkuu naona siku hizi upo ku relax tu, maana sikuoni kwenye jukwaa la presha.!!! Click to expand... Kule wamejaa mbululaz tu hakuna maana tena.
idawa said: Mkuu naona siku hizi upo ku relax tu, maana sikuoni kwenye jukwaa la presha.!!! Click to expand... Kule wamejaa mbululaz tu hakuna maana tena.
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,558 Feb 8, 2014 #24 Nachukia sn haya magazeti ya jikoni yanapokua source ya habari ni kipuuzi haya hapo utajiri wa kutisha ni upi aaaaarrrrggh....!!!!
Nachukia sn haya magazeti ya jikoni yanapokua source ya habari ni kipuuzi haya hapo utajiri wa kutisha ni upi aaaaarrrrggh....!!!!