Baada ya mimba ya kwanza kuharibika mke wangu hashiki mimba, nini tatizo

Jibu ni ndiyo…kama kungekua na poc(product of conception/mabaki ya mimba)yangeonekana kwenye majibu ya ultrasound.
Asante
Tulipomuuliza daktari kuwa labda ni kuziba kwa mirija ndio kunapelekea asishike ujauzito, akasema haiwezekani mbona mimba ya kwanza alishika
Naomba elimu zaidi kuhusu hili

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Asante
Tulipomuuliza daktari kuwa labda ni kuziba kwa mirija ndio kunapelekea asishike ujauzito, akasema haiwezekani mbona mimba ya kwanza alishika
Naomba elimu zaidi kuhusu hili

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app

Kama dr alikwambia hilo haliwezekani inaweza kuwa sahihi pia,sina ujuzi nalo kwa sana.

Labda swali la kukuuliza,je mkeo anapata period yake kam kawaida tangu mimba iharibike?
Mzunguko wake ukoje?mrefu sana?mfupi sana? ama haueleweki?

Mara nyingi mimba zinapoharibika huchukua muda kiasi kiwango cha hormones mwilini kukaa sawa kama awali kbla ya ujauzito.

Kama bado mna mashaka na hilo la mirija kuziba mnaweza rudi hosp kwa msaada zaidi ama mnaweza badili hosp mkatafuta dr bingwa wa magonjwa ya kina mama na uzazi.
 
Sawa ndugu
Idadi ya siku zake inabadilika badilika mfano mwezi huu siku 3 mwezi unaofuata siku 5 n.k

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Alejandroz
So- take a breath..Even if there are NO fertility issues..it can take up to a year..Without timing intercourse around ovulation..chances of conception are only about 10% a month..You can get it up to 15-20% with carefully timed intercourse

If you’re ejaculating several times a day you might be diminishing your sperm reserves..Have regular sex but follow a known method

Good SMEP for conception (sperm meets egg plan) it will help you get timing right so that you are hitting the high fertility times but NOT overdoing it and having sex too often

Your wife should be tracking ovulation..There’s only a few days a month where she’s fertile..that’s you’re golden window..Sex outside of the fertile window is fun..but you won’t conceive🤰🤰🤰

Check a regular visit with your Doctor together with your Wife..All the best 🤰👋🙏
 
Thank you [emoji120][emoji2534]

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Nenda maduka wanayouza madawa ya waislam kuna dawa wanauza za kusaidia kutibu ugonjwa wa P.I.D, kutibu u.t.i, kusafisha mirija ya uzazi, watu wenye tatizo la mimba kuharibika.
 
Kuweni makini PID nyingi utokana na magonjwa ya zinaa..
Mkiendelea na mambo yenu..mtakuwa wagumba..nyote..
 
namba 3 ulitaka kumaanisha
Hysterosalpingography
 
Reactions: Mit
Asante
Tulipomuuliza daktari kuwa labda ni kuziba kwa mirija ndio kunapelekea asishike ujauzito, akasema haiwezekani mbona mimba ya kwanza alishika
Naomba elimu zaidi kuhusu hili

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Mimba ya kwanza kushika sio kigezo,what if hapa kati amepata tatizo lilosababishia mirija kuziba.Jaribuni kuwaona madatari tofauti tofauti.
Scenario: Tulikwenda Kwa best doctor anasifika Kwa infertility issues, wakafanya vipimo wakasema hakuna uwezo wa kushika mimba Kwa njia ya kawaida,labda IVF,au IUI(kama sijakosea,mnaweza nirekebisha).Nikajisemea IVF itakua last option kwetu.basi tukamwona gyno wa kawaida kabisa,wakafanya utrasound wakaona kitu kama polyp.akapanga afanye procedure,pamoja na kuzibua mirija.haikuzidi nusu saa.tukamwuliza umekuta Nini alisema hivi " I found small polyps,I removed them and send to lab, tubes were clogged with mucus,but I was able to shoot dye looks they are open now.I give you 4 months,after the four months you can come to see me again" baada ya miezi 3 tuka conceive.
NB: waoneni madoctor tofauti.
Kabla ya kufanya yote, wote wawili mchekiwe, hormones,sperm count,blood HPV,HIV,maginjwa ya zinaa,BMP,etc kilakitu kikiwa sawa ndo mnaenda next stage.
Kama anapata period vizuri,anunue ovulation kiti Amazon $50 anatumia miaka 2 inasaidia kujua siku gani nzuri za kufanya tendo takatifu. Sio kila mtu anaovulate siku ya kumi na nne kama ulivyouliza huko juu.

Ni safari ndefu lakini mkiwa wote kitu kimoja inakua rahisi.na kumbuka kila mtu Yuko tofauti kilicho work kwetu kinaweza kisiwork kwenu.
Pia watanzania tuache kutumia dawa za watu wanazotushauri bila kufanya vipimo na ushauri kutoka Kwa doctor.ndo maana maginjwa ya figo yanaongezeka.
Pole Kwa gazeti refu.
Kila la kheri.
 
Wanawake wana matatizo mengi sana haswa kwenye kushika ujauzito.....usikute ana stress ila hataki kukuambia tu kwani hataki na wewe uwe stressed kama yeye.
 
Reactions: Mit
Asante ndugu
Vpi unaweza zikumbuka kwa jina?

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo akikutajia utakwenda nunua? Fuateni ushauri wa doctor kwanza.Amalize kwanza dawa alizopewa.afanye vipimo tena.halafu muanzie hapo.hakina kinachoshindikana mbele ya Mungu.
 
Hapana siku zake ni 28 tu

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Kama siku zake ni regular kiasi hicho ni rahisi sana kufuatilia lini ana ovulate.sioni kama Kuna tatizo kubwa.Just continue with current treatment plan.
NB.niko concerned kwasababu sipendi ona watu wanahangaika pata watoto.najua stress yake.
 
Wakuu kwema?
samahani kama nimeingilia uzi kati, Hivi inawezekana mtu kucheck Pregnancy akakutwa
-Blood Positive
-Upt Positive
-Lakini Ultrasound negative?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…