Baada ya mimba ya kwanza kuharibika mke wangu hashiki mimba, nini tatizo

Wakuu kwema?
samahani kama nimeingilia uzi kati, Hivi inawezekana mtu kucheck Pregnancy akakutwa
-Blood Positive
-Upt Positive
-Lakini Ultrasound negative?

Inawezekana,inategemea ujauzito una umri gani.
Nafikori chini ya mwezi 1(kama sijakosea)ultrasound haiwezi kuonyesha
 
Je baada ya kutoka kupima utrasound, Doc alisemaje baada ya matokeo kuwa hayo?na je Leo ni siku,week au mwezi wa ngapi baada ya kumiss period?
Almost Miezi miwili,
Doc anasema kurudi tena after a month.
 
Reactions: Mit

Mtoa mada azingatie huu ushauri utamfaa.
Pia ajue ma dr huwa wana overlook vitu wakati mwingine.
Anaweza badili hosp na dr kwa ushauri zaidi.

Sema hapo kwenye mzunguko wake pia panaweza kuwa na shida.
Anaweza pata mzunguko ambao uko sawa lakini hapati ovulation(mayai hayapevuki)ndio maana nilimuuliza kama mkewe alipimwa hormones.
 
Reactions: Mit
Almost Miezi miwili,
Doc anasema kurudi tena after a month.

Kama mmeambiwa mrudi baada ya mwezi ni sawa.
Rudini muone majibu ya kipimo yatasemaje.
Kuna umri ukifika mimba huanza kuonekana vizuri kwa ultrasound.
Wakati mwingine wanawake hushindwa/hukosea hesabu za tar ya hedhi yake ya mwisho,kwa hiyo anaweza sema inamiezi miwili kumbe ni mmoja na siku.
 
Kama siku zake ni regular kiasi hicho ni rahisi sana kufuatilia lini ana ovulate.sioni kama Kuna tatizo kubwa.Just continue with current treatment plan.
NB.niko concerned kwasababu sipendi ona watu wanahangaika pata watoto.najua stress yake.
Nashukuru mkuu nitafuata ushauri wako pia [emoji1374]

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Sawa ndugu [emoji1374]

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tuone huo mwezi, Kuhusu dalili anazo zote
 
Yaah pid ni kichocheo kikubwa sana kinachopelekea mwanamke kukosa
Yaah pid pia nikichocheo kikubwa sana Njoo NIKUSAIDIE inshallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…