Chama cha waha kile Cha wachaga naona mama anawapeleka puta walidhani watamnyanyasa kisa mwanamke Sasa wanayaona waoHivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais.
Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie.
ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha
HahahahaWana Chigomasasa mpiganie keki Taifa ifike huko....mfungue mkoa wenu iwe hub ya businesses kama Mwanza na Arusha....mjipange muache maubishi
Subiri waje kukubishia hapahapa.Wana Chigomasasa mpiganie keki Taifa ifike huko....mfungue mkoa wenu iwe hub ya businesses kama Mwanza na Arusha....mjipange muache maubishi
Halafu kaanzia ziara yake ya kwanza “muhira” kabla hajaenda kwa “banyamahanga” wengine.Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais.
Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie.
ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha,tutamlipa kwa kura zote 2025,na wabunge wote, madiwani, na viongozi wote wa mitaa
Muha mmoja anabishana na behewa zima kutoka Dodoma mpaka Kigoma halafu akishuka kutoka kwenye treni anamsikia mtangazaji wa radio akisema kile kile kilichosemwa na wote aliowabishia safari nzima.Wana Chigomasasa mpiganie keki Taifa ifike huko....mfungue mkoa wenu iwe hub ya businesses kama Mwanza na Arusha....mjipange muache maubishi
Mistake Zitto afanye Kama Chadema wanavyofanya. Zitoo ni mtu mtulivu na siasa zake za kistaarabu, tofauti na Chadema. Hamna sehemu Zitto kasema ameacha kuikosoa serikari au ana give up.. kiss umakam wa rais.. mtoa mada una hangaika kuona ni Chadema peke yenu mna siasa za vurugu.Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais.