Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,232
Napenda kuwashauri watu wa usalama na serikali kwa ujumla. Baada ya mlipuko wa Arusha ambao kimsingi ulikuwa unamlenga Barozi wa Papa nchini, lakini ikashindikana sasa kuna uwezekano mkubwa kundi hili linafanya mpango wa kuripua ubarozi wa VATICAN Dar.
Kwanini nasema hivyo? Kwa psycholojia ya kawaida kabisa. Kundi la kiharifu lililokutana Diamond Jubilee Mwaka 2011 August kama sikosei, huku likilindwa na Polisi. Moja ya Agenda kubwa kabisa ilikuwa ni kuhakikisha ubarozi wa Papa unafungwa. Kama wamemkosa kosa barozi huyo Arusha kuna uwezekano mkubwa wanawinda ubarozi huo kama ilivyokuwa kwa ubarozi wa marekani.
Kundi hili ni la kiharifu kwa sababu maazimio yeke ilikuwa kuua au kuuawa, ukiazimia kuua basi wewe ni muharifu hata kama ungekuwa Shekhe au Padre
Kwanini walikuwa wanamlenga barozi huyo?
Hapa Arusha yako makanisa mengi ya kikatoliki tena yako mjini, kitendo cha hao magaidi kusafiri hadi Olasit alipo huyo Barozi kinaashiria alilengwa yeye
Mods mkihamua kuondoa uzi huu basi mtakuwa mmefanikisha mipango ya kigaidi. Pia naomba isikashifiwe dini ya mtu hapa