Elezea sababu za kunyimwa kwake.
Kwa ulofa wako unadhani Yanga inafurahia tu kupanda ndege. Hata hujui kama Yanga iko hatua ya nane bora. Mbumbumbu wakubwa nyie, jadilini maendeleo ya klabu lenu mikia fcMimi ni mwanachama hai wa Simba. sina haja ya kuweka namba yangu . Kuna mambo ambayo nayakubali katika mpira bila kupepesa macho siku zote nitasisitiza. Kwa hatua tuliyofika sasa Mpira wetu unataka pesa.
Mo Dewj amenyimwa Simba kwa sababu ambazo siwezi kusema lolote. lakini pia sitaki kusema kama mwarobaini pekee ulikuwa yeye ingawa naamini kama angepewa simba tungepata nafasi ya kuangalia msimu huu anaijengaje na nini matokeo yake.mpira ni pesa. leo tarehe 31/07/1026 nawaambia wanachama wa Simba kama suala la Mo Dewj limepigwa tena danadana na mwishowe kubutuliwa mbali kabisa nje ya uwanja. msimu huu utakuwa ni mmoja ya misimu mibaya kabisa ya Simba. wachezaji wameshaanza kukata tamaa na hili husababisha wauze mechi au wacheze chin ya Kiwango.
Tatizo si kocha, tatizo ni Uongozi na pia ukata ndo utakaoua team ya simba. wachezaji wengi wameonekana kukosa morali baada ya kuona ajenda ya Mo Dewj Kupewa Team imetupiliwa Mbali. wengi wanalalamika kuwa pesa hawapati za kutosha na kwa wakati muafaka. ukiacha mazingira mazuri n.k. watu wasisahau mpira huu wa sasa ni ajira na si mapenzi.
Nafasi hii itasababisha wachezaji wetu wanunuliwe na team zenye pesa wanapocheza nazo na hivyo kupoteza mechi hizo. NAWAHAKIKISHIA SIMBA IKIJITAHIDI SANA MSIMU HUU KAMA HAKUTAFANYIKA MABADILIKO BASI NI NAFASI YA NNE AU TANO NA UKITOKEA MUUJIZA NAFASI YA 3.
Kama Ungozi huu utaendelea ulivyo na Simba ikachukua Ubingwa Nipigwe BAN MILELE HUMU JAMII FORUMS. na ikichukua NAFASI YA PILI NIPIGWE BAN MIEZI MIWILI.
Tunaumia kuona Yanga wananunua mechi ngumu za hapa TZ wanshinda wanaenda kucheza mechi za Kimataifa huku wao wakifurahia tu kupanda ndege na si kwenda Kushindana. Sisi tunataka Simba iende kushindana na si kutaka kupanda ndege.
Mtakumbuka hadithi ile ya JOGOO ALIYESEMA.
Kwa hiyo Mo apewe timu ili aje kununua mechi kama Yanga?Mimi ni mwanachama hai wa Simba. sina haja ya kuweka namba yangu . Kuna mambo ambayo nayakubali katika mpira bila kupepesa macho siku zote nitasisitiza. Kwa hatua tuliyofika sasa Mpira wetu unataka pesa.
Mo Dewj amenyimwa Simba kwa sababu ambazo siwezi kusema lolote. lakini pia sitaki kusema kama mwarobaini pekee ulikuwa yeye ingawa naamini kama angepewa simba tungepata nafasi ya kuangalia msimu huu anaijengaje na nini matokeo yake.mpira ni pesa. leo tarehe 31/07/1026 nawaambia wanachama wa Simba kama suala la Mo Dewj limepigwa tena danadana na mwishowe kubutuliwa mbali kabisa nje ya uwanja. msimu huu utakuwa ni mmoja ya misimu mibaya kabisa ya Simba. wachezaji wameshaanza kukata tamaa na hili husababisha wauze mechi au wacheze chin ya Kiwango.
Tatizo si kocha, tatizo ni Uongozi na pia ukata ndo utakaoua team ya simba. wachezaji wengi wameonekana kukosa morali baada ya kuona ajenda ya Mo Dewj Kupewa Team imetupiliwa Mbali. wengi wanalalamika kuwa pesa hawapati za kutosha na kwa wakati muafaka. ukiacha mazingira mazuri n.k. watu wasisahau mpira huu wa sasa ni ajira na si mapenzi.
Nafasi hii itasababisha wachezaji wetu wanunuliwe na team zenye pesa wanapocheza nazo na hivyo kupoteza mechi hizo. NAWAHAKIKISHIA SIMBA IKIJITAHIDI SANA MSIMU HUU KAMA HAKUTAFANYIKA MABADILIKO BASI NI NAFASI YA NNE AU TANO NA UKITOKEA MUUJIZA NAFASI YA 3.
Kama Ungozi huu utaendelea ulivyo na Simba ikachukua Ubingwa Nipigwe BAN MILELE HUMU JAMII FORUMS. na ikichukua NAFASI YA PILI NIPIGWE BAN MIEZI MIWILI.
Tunaumia kuona Yanga wananunua mechi ngumu za hapa TZ wanshinda wanaenda kucheza mechi za Kimataifa huku wao wakifurahia tu kupanda ndege na si kwenda Kushindana. Sisi tunataka Simba iende kushindana na si kutaka kupanda ndege.
Mtakumbuka hadithi ile ya JOGOO ALIYESEMA.
Anazingua huyo kila kitu anasingizia watu,hivi pale Singida United alishindwaje kuweka watu wake anao waamini waongoze timu? Uwezo na ushawishi alikuanao ila kwakuwa alienda pale kwa manufaa yake ya kisiasa akapata alichokipata akaitekeleza, akawaahidi kuwajengea uwanja miaka yote kumi ya ubunge bila bila, akakimbia. MO yuko kimaslahi yake ila poa apate na mashabiki tufurahi.Hawezi kumwaga pesa mahali ambapo hatokuwa na mamlaka ya kusimamia matumizi ya pesa hizo. Hicho ndicho kilichomwondoa Simba na Singida United. Huwezi weka pesa yako mahali halafu watu wanaitumia vibaya nawe unaona lakini huna nguvu ya kudhibiti. Anataka hisa asilimia 51 ili aweke menejimenti yeye. Awe na nguvu ya kuhoji na kuwajibisha.
Mo akimiliki club, akina Hands Poppe watabaki kuwa mashabiki. Hawatakubali hilo.Alitaka amiliki 51% ya Simba kwa maana nyngine yeye ndiye awe mmiliki wa timu. Nadhani wamemstukia kuimiliki timu.
Mo akimiliki club, akina Hands Poppe watabaki kuwa mashabiki. Hawatakubali hilo.
Wakitaka kumleta Mo, wawaondoe viongozi wa sasa.
Viongozi wa Simba ni wabinafsi sana na wanaona mtu kama MO kuja Simba maslahi yao ya Ufisadi yatapoteaMimi ni mwanachama hai wa Simba. sina haja ya kuweka namba yangu . Kuna mambo ambayo nayakubali katika mpira bila kupepesa macho siku zote nitasisitiza. Kwa hatua tuliyofika sasa Mpira wetu unataka pesa.
Mo Dewj amenyimwa Simba kwa sababu ambazo siwezi kusema lolote. lakini pia sitaki kusema kama mwarobaini pekee ulikuwa yeye ingawa naamini kama angepewa simba tungepata nafasi ya kuangalia msimu huu anaijengaje na nini matokeo yake.mpira ni pesa. leo tarehe 31/07/1026 nawaambia wanachama wa Simba kama suala la Mo Dewj limepigwa tena danadana na mwishowe kubutuliwa mbali kabisa nje ya uwanja. msimu huu utakuwa ni mmoja ya misimu mibaya kabisa ya Simba. wachezaji wameshaanza kukata tamaa na hili husababisha wauze mechi au wacheze chin ya Kiwango.
Tatizo si kocha, tatizo ni Uongozi na pia ukata ndo utakaoua team ya simba. wachezaji wengi wameonekana kukosa morali baada ya kuona ajenda ya Mo Dewj Kupewa Team imetupiliwa Mbali. wengi wanalalamika kuwa pesa hawapati za kutosha na kwa wakati muafaka. ukiacha mazingira mazuri n.k. watu wasisahau mpira huu wa sasa ni ajira na si mapenzi.
Nafasi hii itasababisha wachezaji wetu wanunuliwe na team zenye pesa wanapocheza nazo na hivyo kupoteza mechi hizo. NAWAHAKIKISHIA SIMBA IKIJITAHIDI SANA MSIMU HUU KAMA HAKUTAFANYIKA MABADILIKO BASI NI NAFASI YA NNE AU TANO NA UKITOKEA MUUJIZA NAFASI YA 3.
Kama Ungozi huu utaendelea ulivyo na Simba ikachukua Ubingwa Nipigwe BAN MILELE HUMU JAMII FORUMS. na ikichukua NAFASI YA PILI NIPIGWE BAN MIEZI MIWILI.
Tunaumia kuona Yanga wananunua mechi ngumu za hapa TZ wanshinda wanaenda kucheza mechi za Kimataifa huku wao wakifurahia tu kupanda ndege na si kwenda Kushindana. Sisi tunataka Simba iende kushindana na si kutaka kupanda ndege.
Mtakumbuka hadithi ile ya JOGOO ALIYESEMA.
Unizidi mimi kwa kutowapenda wamatopeniSimba siipendi kabisa ikishuka daraja nitafurahi sana
hii ni process kama ile ya kujenga timu....mwaka wa tano sasalazima tuvumilie...hii ni process
amen.Simba siipendi kabisa ikishuka daraja nitafurahi sana
amen.Natamani simba ipotee kwenye ramani ya soka
looserhii ni process kama ile ya kujenga timu....mwaka wa tano sasa
Ili mzikule vizuri?Acheni uswahili kwenye mambo ya msingiMO kama anamapenzi ya dhati na Simba amwage fedha pale kuisaidia timu msimu huu wa 2016/2017 na si anachotaka kufanya. Afadhiri timu isajiri,ijenge uwanja wake
Tubabu tupi utooo....??Shida ya Simba shule. Tule tubabu hatujui nguvu ya pesa, bado tunaamini uchawi
Ndo tatizo la kuanza kushabikia mpira juzi... Hivi hujui simba ilibeba kombe la kagame mara mbili ndani ya mwaka mmoja na la mwisho ni kenya kwa kuifunga asante kotoko ya ghana na tusker ya kenya? Usijiaibishe ulivyo mtupu kwa hiloMoja kati ya timu ambazo Yanga alipiga mbele-nyuma (yaani, kampa ... kampa tena) ni Simba. Ina maana Yanga alinunua mechi za Simba au kwa maneno mengine Simba ni ____ poa?
Mimi nawashangaa sana wamatopeni. Kwani wakati ule Simba inafadhiliwa na Azim Dewji, tulikuwa hatuwabandui nyie?
Halafu mihemko ya kuzungumzia mechi za Yanga, mnaishia kwenye matokeo au mnaangalia na kiwango cha mpira kinachopigwa? Kama Yanga amenunua mechi, siku mliotandikwa bao moja (cha nguruwe) na Toto Africa, na wao walinunua mechi? Hebu acheni mambo ya kipuuzi, jadilini mambo yenu ya hina huko, mwanaume muacheni.
Kwa kuwasaidia tu...NI YANGA TU NDIO ILIWAHI KUTOKA NJE YA MIPAKA NCHI, IKATIMUA TIMBWILI NA KUJA NA NDOO HOME. Nyie ni mama wa nyumbani, kama kwenye kabati lenu kuna chochote, basi kimepatikana hapa hapa nyumbani. Ubavu wa kwenda kwenye ardhi ya watu kukinukisha nyie hamna. Mbwa koko habweki ugenini...kaeni kimya
View attachment 373936