Simba wemeashikwa pabaya sana..... Hivi thamani ya Simba ni 20b!!!??? Nani aliyefanya huyo UTHAMINISHAJI!!!??? Kitu cha pili hizi bilioni 20 hzipewi timu moja kwa moja ni uwekezaji wa HATI FUNGANI ambapo faida yake ni almost 3.7 bilioni kwa mwaka ambapo ndio Simba itapata , kwa wakati huohuo Mo akiwa ndio muwekezaji mkubwa 51% hiyo faida ya 3.7 bilions na yeye anapata 51% ya 3.7 bilions hivyo atapata kama 1.9 bilions na Simba 1.8 billions ....hiyo ni offer yake sasa kama na wewe unajeuri weka mzingo mezani mfano bil 30...
Sasa Simba ikipata 1.8 Bil na Mo akapata 1.9 tatizo liko wapi? kwa kwasasa tunapata nini? halafu haiuzwi nakama inauzwa 100-51 basi thamani ya Simba ni bil 40 kasoro na siyo 20 kama unavyotaka kutuaminisha ukikumbwe tar 15.8 ndiyo wanaanza majadiliano na kamati tendaji ya Simba na hapo ndiyo wataanza kuzungumziabmasirahi ya pande zote na pengine kiwango kikaongezeka...Simba wemeashikwa pabaya sana..... Hivi thamani ya Simba ni 20b!!!??? Nani aliyefanya huyo UTHAMINISHAJI!!!??? Kitu cha pili hizi bilioni 20 hzipewi timu moja kwa moja ni uwekezaji wa HATI FUNGANI ambapo faida yake ni almost 3.7 bilioni kwa mwaka ambapo ndio Simba itapata , kwa wakati huohuo Mo akiwa ndio muwekezaji mkubwa 51% hiyo faida ya 3.7 bilions na yeye anapata 51% ya 3.7 bilions hivyo atapata kama 1.9 bilions na Simba 1.8 billions ....
Huyu jamaa ni "KICHWA " ..... KAWATAJIA TU BEI HAJAWACHAMBULIA MGAWANYO WA MAPATO NA MATUMIZI KWA UWEKEZAJI WAKE..... TAYARI SIMBA WANATAFUTANA..... kamoshi kama ka ileeee YANGA ACADEMIA ,YANGA ASILI NA YANGA KAMPUNI kananukia Simba.... Mo kanunua mashabiki wampigie debe .... Na kuna matajiri wengine nao wananunua mashabiki wa kumpinga Mo..... Acha muvi iendeleee
.
Jamani mwenye maazimio ya mkutano mkuu Juu ya hatma ya mo kuchukua timu atujuze ili tujue nasiii
[/QUOTE]Hizo assets zipo miaka mingap sasa? Brand ya simba ipo miaka mingap sasa? Jengo lina umri gan na lina hali gani? Linaisaidia klabu kwa asilimia ngapi?wanachama wangap wa Simba watakaoweza nunu hisa za kufikisha bil 5 ?tuzungumze kiuhalisia.
QUOTE="bigmind, post: 17044337, member: 336342"]Umasikini kitu kibaya sana, hiyo hiyo sinpesa ya kununua assets tu za simba[emoji15] [emoji15] [emoji15] lile jengo pale katikati ya jijji kariakooo unajua lina thamani gani? Fikiria pia brand ya simba nimkubwa sana hiyo pesa ndilogo shida ni kwamba uendeshaji wakw ni wa kipuuzi kuna wapiga peaa tu basi!
Mkakati uwe hivi wauze hisa kwa wanachama then waajiri kampuni ya kuiendesha simba kibiashara ibaki kugawa faida ikitokea hivyo.
Tatizo mnashinda tu JF ndio maana mnaandika upumbavu sasa mtoa maada hapo umeandika nini?alafu unajiita shabiki wa simba au kwenye mkutano juzi haukwenda???
Ifike mahali unapo toa taarifa kama hii uwe na uhakika nayo basi Japo kwa aslimia 5% tu,ila pole maana lengo lako halija kamilika
Km thamani ya majengo ya simba unambiwa ni bilioni 3 uoni bilioni 20 n nyingi kwa simba, Mo ndo kajichaganya 20b n nyingi sana kwa simbaSimba wemeashikwa pabaya sana..... Hivi thamani ya Simba ni 20b!!!??? Nani aliyefanya huyo UTHAMINISHAJI!!!??? Kitu cha pili hizi bilioni 20 hzipewi timu moja kwa moja ni uwekezaji wa HATI FUNGANI ambapo faida yake ni almost 3.7 bilioni kwa mwaka ambapo ndio Simba itapata , kwa wakati huohuo Mo akiwa ndio muwekezaji mkubwa 51% hiyo faida ya 3.7 bilions na yeye anapata 51% ya 3.7 bilions hivyo atapata kama 1.9 bilions na Simba 1.8 billions ....
Huyu jamaa ni "KICHWA " ..... KAWATAJIA TU BEI HAJAWACHAMBULIA MGAWANYO WA MAPATO NA MATUMIZI KWA UWEKEZAJI WAKE..... TAYARI SIMBA WANATAFUTANA..... kamoshi kama ka ileeee YANGA ACADEMIA ,YANGA ASILI NA YANGA KAMPUNI kananukia Simba.... Mo kanunua mashabiki wampigie debe .... Na kuna matajiri wengine nao wananunua mashabiki wa kumpinga Mo..... Acha muvi iendeleee
.
Jina la Simba thamani yake ni kubwa kuliko majengo...Km thamani ya majengo ya simba unambiwa ni bilioni 3 uoni bilioni 20 n nyingi kwa simba, Mo ndo kajichaganya 20b n nyingi sana kwa simba
Inathamani ngapi kwa kukadariaJina la Simba thamani yake ni kubwa kuliko majengo...
Siyo mtaalam wa kuthaminisha...Inathamani ngapi kwa kukadaria
Jina la Simba thamani yake ni kubwa kuliko majengo...
Ungesoma ukaelewa ....Sasa Simba ikipata 1.8 Bil na Mo akapata 1.9 tatizo liko wapi? kwa kwasasa tunapata nini? halafu haiuzwi nakama inauzwa 100-51 basi thamani ya Simba ni bil 40 kasoro na siyo 20 kama unavyotaka kutuaminisha ukikumbwe tar 15.8 ndiyo wanaanza majadiliano na kamati tendaji ya Simba na hapo ndiyo wataanza kuzungumziabmasirahi ya pande zote na pengine kiwango kikaongezeka...
..Acha watu wawekeze na Mimi nitanunua...