Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bado sijafahamu ni kwanini wachezaji wa Taifa Stars wamekata tamaa baada ya Taarifa za kutekwa MO kuwafikia rasmi kwenye kambi yao , lakini ukweli unaofahamika ni kwamba kambi imedorora na imejaa huzuni tupu.
Mtoa taarifa anasema kwamba ingewezekana timu yetu ingejiondoa kwenye mchezo wa kesho kutokana na huzuni iliyotanda kambini , kwa vile hilo haliwezekani basi hata tukiingiza timu ni wazi tutachezea kichapo tu .
Inahuzunisha sana !