Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taifa Stars inao wachezaji wa Simba ambao maisha yao yanategemea uwepo wa MO , hili unalijua vizuri tu ila umeamua kuleta siasa kwenye jukwaa la michezo , sijui kwa faida ya nani .Utakua ujinga wa karne!
Akina Ben Saa nane wenyewe hawakua watu?
Vipi Tundu Lisu yeye hana roho?
We are all humans, we all have the right to live.
Sio wengine waonekane kama malaika wakati wengine wanaokotwa kwenye viroba
Namuombea Heri Mo Dewji, ila sio kwa hizi exeggrations mnazofanya!
Aiseeee !!!!Kuna binadamu mwenye madeni mengi na anakusudia kuyamaliza kupitua account ya Mo
Ninaishia hapo mkuuAiseeee !!!!
panatosha mkuu .Ninaishia hapo mkuu
Mkuu hebu mwisho wa mwezi kalipe wachezaji na viongozi wa pale Msimbazi mishahara na posho zao.Acha upuuzi wewe Mo ni nani ashushe morali za wachezaji wa stars..?? MUNGU ANAJISIFU KWA KUTUUMBA BINADAMU NA WOTE TUKO SAWA MBELE ZA MUNGU.. ILA KUNA WAPUUZI WANATAKA KUJIONA WANATHAMANI KUBWA NA HAPO NDIPO TATIZO..
ikiwezekana huyo MO waondoke hata na macho yake... Masikini wakitekwa hakuna utafutaji wowote shenzi zenu... Siku atatekwa mtu mkubwa wa serikali na muanze kuhangaika..
Acha upuuzi walio vitengo ndio kitu gani?? Watu wanapotea afu mnatuletea story za kipuuzi hapa.. binadamu wote ni sawa na kila binadamu ana umuhimu wake katika kujenga nchi..Mkuu hebu mwisho wa mwezi kalipe wachezaji na viongozi wa pale Msimbazi mishahara na posho zao.
Ukiweza basi nawewe utaonekana wa muhimu kama Mo.
Alafu hujui kuwa JF kuna wazee wengi wa kitengo? Chunga hizo kauli zako maana hawakawii kukukwapua kama kifaranga kisicho na mama.
Msitafute sababu ya kufungwa.Bado sijafahamu ni kwanini wachezaji wa Taifa Stars wamekata tamaa baada ya Taarifa za kutekwa MO kuwafikia rasmi kwenye kambi yao , lakini ukweli unaofahamika ni kwamba kambi imedorora na imejaa huzuni tupu.
Mtoa taarifa anasema kwamba ingewezekana timu yetu ingejiondoa kwenye mchezo wa kesho kutokana na huzuni iliyotanda kambini , kwa vile hilo haliwezekani basi hata tukiingiza timu ni wazi tutachezea kichapo tu .
Inahuzunisha sana !
We jamaa bana unadhani taifa stars ni msimbazi?Bado sijafahamu ni kwanini wachezaji wa Taifa Stars wamekata tamaa baada ya Taarifa za kutekwa MO kuwafikia rasmi kwenye kambi yao , lakini ukweli unaofahamika ni kwamba kambi imedorora na imejaa huzuni tupu.
Mtoa taarifa anasema kwamba ingewezekana timu yetu ingejiondoa kwenye mchezo wa kesho kutokana na huzuni iliyotanda kambini , kwa vile hilo haliwezekani basi hata tukiingiza timu ni wazi tutachezea kichapo tu .
Inahuzunisha sana !